Tulonge

Whitney na Michael wanaweza rudia pozi hili endapo ni kweli watu hukutana mbinguni baada ya kufariki.

Ni pozi zuri sana,wanaonekana ni wenye furaha sana. Kama ni kweli watu hukutana mbinguni baada kufariki, basi nadhani Whitney na Michael lazima watakumbushia pozi hili. Sijui nani atakua mpiga picha huko walipo? Tunawaombea wapumzike kwa amani.


Views: 558

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Tulonge on February 14, 2012 at 13:59

Jemedari umenicheksha, eti huelewi nani mwanamke/mwanaume.

Comment by jemadari mimi on February 14, 2012 at 13:00

Hapa najiuliza kuhusu hii picha,ni nani mwanaume na na mwanamke?maana wote wanafanana hawa

Comment by jemadari mimi on February 14, 2012 at 12:55

Mungu hawasamehe hawa waja wake kwa yote waliyofanya hapa duniani

Comment by Bonielly on February 14, 2012 at 12:28

siri ya mwenyezi mungu anaijua yeye mungu,

Comment by Dixon Kaishozi on February 14, 2012 at 8:54

Siri yote aijuae ni Mola wetu..

Comment by Tulonge on February 13, 2012 at 22:37

Yani Alfan akili zako zote zipo huko huko kwenye hizo ishu teh teh teh

Comment by Alfan Mlali on February 13, 2012 at 21:47
Hawa inawezekana walishawahi ku-do enzi hizo...!!

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*