Tulonge

Lucie's Comments

Comment Wall (132 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 3:18 on December 23, 2011, Mama Malaika said…

Lucie wangu mbona kimya? Mie nafunga safari kwenda kudai mahari kwa Jorge. Ha haa haa

At 21:09 on December 6, 2011, CHA the Optimist said…

At 12:30 on December 2, 2011, Mama Malaika said…

Lucie wangu hujambo? Nimefurahi sana kusikia toka kwako. Vipi waninyima nini Arusha? Niko njiani nakuja

At 14:48 on November 25, 2011, ANGELA JULIUS said…

wewe ndo umepotea best yangu lol lini unakuja jiji letu la dar es salaam siyo siri Umepotea kwenye mtandao hadi unatia wasiwasi

At 0:40 on November 17, 2011, Moreen said…

Mambo vipi shosti, habari za siku tele.

At 9:05 on November 8, 2011, CHA the Optimist said…
Nafikiri Dismas, Alfani, na Angela wapewe jukumu la kupanga siku ambayo itakuwa mwishoni mwa mwezi huu kwa ajili ya "TULONGE FUNGA MWAKA PARTY".  siku ambayo kweli itakuwa ni nzuri kwa kila aliye Mtanzania. Ama kwa wale walio nje ya Dar na wangependa kushiriki, nafikiri itakuwa ni vyema na haki kwa wao kushauri siku ambayo wanafikiri ni nzuri. Dixon, Lucie, na Silas. Dada Mama M, najua uko PamoJah nasi kimawazo, ningependa/tungependa kusikia neno muhimu toka kwako.
At 13:48 on October 25, 2011, Mama Malaika said…
Lucie wangu, hujambo? Nimeku miss sana
At 14:17 on October 17, 2011, Severin said…
Mambo vipi Lucie. mbona umepotea hivi?
At 6:59 on August 29, 2011, Joan said…
Habari shosti
At 23:44 on August 3, 2011, eddie said…

Happy birthday Lucie!

 

At 17:14 on August 3, 2011, Mama Malaika said…
HAPPY BIRTHDAY!!
At 1:21 on August 3, 2011, Gratious Kimberly said…
At 6:53 on July 28, 2011, Lilian said…
At 13:53 on July 27, 2011, Mama Malaika said…
At 23:12 on July 23, 2011, Tulonge said…
At 11:44 on July 19, 2011, Severin said…
Mzima Lucie
At 18:56 on July 18, 2011, Wa Kimberly said…
vp dogo hujambo,huonekani kijijini,au ndio umevamia kijenge kumtafuta mama brendaa,haaaa.missn yaa.maana uliniambia utafanya uchunguzi,haaaaa.
At 9:28 on July 2, 2011, ANGELA JULIUS said…

CHIKAMOO LUCIE WA MAMA, NDANI YA TULONGE TENA TUPO PAMOJA

At 18:06 on June 29, 2011, Omary said…
Lucie mambo vp? upo? mamy.
At 20:43 on June 8, 2011, George said…
Niambie wangu, uko salama huko uliko?

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*