Tulonge

Lucie's Comments

Comment Wall (132 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 8:08 on June 8, 2011, Joan said…
Habari mrembo
At 3:51 on May 25, 2011, Severin said…
At 12:56 on May 23, 2011, Don M said…

Wa mama mambo vipi?

Huko Arachuga mwatuzidi nini haswa?

kila laheri nakutakia katika siku ya leo

At 22:43 on May 20, 2011, Severin said…
Ipi ikufanyayo uote usiku?
At 19:57 on May 19, 2011, Wa Kimberly said…
asante kwa salamuuu,jamani pia wao wakarimu saana,walitupa kampany sana sikuile,nilifurahi sana kuwafahamu,wasalimu saaaaana.
At 0:58 on May 19, 2011, Belita said…
Mimi ni mzima kabisa shosti wangu.Kwani ulijificha wapi,maana ni muda kidogo sijakuona.Au ni mimi ndiyo nimepotea? Siku njema
At 21:22 on May 18, 2011, Severin said…
Picha zangu zina nn kwani?
At 21:22 on May 18, 2011, CHA the Optimist said…
Amani iwe nawe. PamoJah
At 21:12 on May 18, 2011, CHA the Optimist said…
Mzima wewe?
At 20:55 on May 17, 2011, George said…
Hata Sijakususa wangu wewe mwenyewe upo busy sana siku hizi!! niambie watunyima nini huko kwako sasahivi??
At 20:23 on May 17, 2011, Wa Kimberly said…

pouwa shosti,mi pouwa naparangana na maisha tuu.vp niaje za A tauni?dixon kasema eti umemuambia asile nyama choma mpaka nije tena janauary 2012  ha ha aa,eti ni kweliiiiiiii

stay gud.

At 8:58 on May 17, 2011, Dixon Kaishozi said…
Shari kabisa Lucie.. Habari za USA ? sasa hatuli nyama choma tena mpaka Mdau mweingine atutembeleee? Amani kwako!
At 7:45 on May 17, 2011, Severin said…
Mimi mzima,habari ya kupotea. Ulienda wapi?
At 3:47 on May 17, 2011, Tulonge said…
Poa, wewe?
At 18:13 on May 16, 2011, Alfan Mlali said…
Mambo vipi Lucie, mbona umeadimika sana wangu? Miss u so much!
At 3:47pm on April 28, 2011, Mama Malaika gave Lucie a gift
At 2:58 on April 23, 2011, Diana said…
Kwema hapa jamani
At 10:56 on April 10, 2011, mwana wa kenya said…
mbona umeanza kusuwa suwa hahaha.....
At 20:10 on February 28, 2011, Joan said…
Mambo
At 4:30 on February 17, 2011, rashid Ally said…
sawa dada ninajua amani ilikuwepo sana

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*