Tulonge

Lucie's Comments

Comment Wall (132 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 18:22 on December 8, 2010, Alfan Mlali said…
Hellow Good evening.... Uko poa mdada??
At 20:50 on December 7, 2010, George said…
Mimi sijambo Mpenzi wangu nimekumic tu sana!! Niambie unatunyima nini sasahivi huko kwako?
At 14:04 on November 28, 2010, Jeath Justin Prosper said…
Habari yako dada Lucie
At 21:11 on November 25, 2010, George said…
Wangu acha kunisusa. Uwe na wkend njema.
At 2:36 on November 25, 2010, Mama Malaika said…
Hujambo Lucie wangu?
At 13:22 on November 21, 2010, Belita said…
Habari Lucie
At 14:47 on November 18, 2010, Tulonge said…
Nimepata rumors that u want to LEAVE tulonge,kwa nn? Mimi nategemea wadau wazidi kujaa tulonge na siyo kuondoka. Now days waonekana huna amani kabisa,hujachangamka kabisa. If u don't mind tell me wots wrong with u so that u can get my advice the way I used to do before. Siyo unakaa bila amani.

Amani kwako
At 8:32 on November 17, 2010, chaoga said…
nimepita kukupa sikukuu yako lakini sikukuta..
At 20:02 on November 16, 2010, Oswald said…
Tatizo lako Lucie una Mapozi sana.....mambo yako vp!!!
At 17:47 on November 13, 2010, Diana said…
Habari yako shosti,natia mguu kwa mara ya kwanza hapa kwako. Wikiendi njema Lucie
At 17:55 on October 25, 2010, Alfan Mlali said…
Lucie huyu mdogo anapenda kunyonya sana hivyo atafurahi sana ukimchukua!
At 7:39 on October 25, 2010, George said…
Sema Lucie upo lakini? mimi niko poa.
At 17:56 on October 21, 2010, Alfan Mlali said…
Unamtaka mtoto yupi, mkubwa au mdogo????
At 17:55 on October 21, 2010, Alfan Mlali said…
HAHAHAHA...Mimi sijamuona jr nimewaona warembo tu!!!!tehetehetehethethethe
At 23:16 on October 20, 2010, Severin said…
Acha kunidanganya, upende picha yangu kwa lipi zuri hasa? Jamani malizia namba wewe dada,mbona wanirusha roho?
At 8:25 on October 20, 2010, Dixon Kaishozi said…
Oooh... Pole ndg yangu. Sikupata ujumbe frm winnie labda alisahau! Hope tutakutana wakati mwingine! Be blessed my sis. cku njema!
At 18:42 on October 19, 2010, George said…
Safi wangu, naona umeadimika isivyo kawaida.
At 18:04 on October 19, 2010, Alfan Mlali said…
Kampeni ya CCM au CHADEMA???
At 11:12 on October 17, 2010, George said…
Niambie Lucie Mambo vipi?
At 21:31 on October 14, 2010, Belita said…
Nimependa picha yako mama,u look nice

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*