Tulonge

Severin's Comments

Comment Wall (285 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 14:50 on September 8, 2010, lilian dismas said…

At 13:29 on September 8, 2010, Mama Malaika said…
Habari ya hapa? Naona umeniletea wana kimwekumweku sijui ndio wanacheza mnanda wale?
At 12:42 on September 8, 2010, Jeath Justin Prosper said…
Hapana ndugu....mi si mdogo wake na Kakobe...vip kuna mdogo wake anatafutwa?
At 11:25 on September 8, 2010, Ahlam Said said…
Thanx Severin
At 11:08 on September 7, 2010, CHA the Optimist said…
Amani ipo ndugu, asante kwa sla,am.

PamoJah
At 8:20 on September 6, 2010, Naboti T said…
Poa man!!itakuwa bumper to bumper!!!!!!
At 20:25 on September 4, 2010, ABD said…
Poa tu mwana shukrani wa kuniparibisa sasa tupo pamoja tena tuende speed kali kwa pamoja
At 12:58 on September 4, 2010, Chui Mfalme said…
pouwah man nimeshajongea.
At 11:16 on September 3, 2010, Jeath Justin Prosper said…
Asante rafiki!!!
At 19:18 on September 2, 2010, lilian dismas said…
mie nipo wangu ila majukumu tu ndio yanabana vipi uko poa?
At 9:27 on September 2, 2010, haji madawili said…
poa kaka tanzania hakuna mjini kote sawa sema kwingine kuna bahari na kwingine mito,so nawe karibu
At 22:37 on September 1, 2010, Mama Malaika said…
Habari ya nyumbani hapa? mama kapita kukuachia salamu
At 4:20 on August 31, 2010, Belita said…
Thanx for da add kaka
At 10:44 on August 30, 2010, Ahlam Said said…
wakaribishwa anytime
At 1:04 on August 29, 2010, Jorge Novati Rutenge said…
Pamoja kaka, tunalisongesha
At 14:45 on August 28, 2010, Dunda said…
mambo vp mkuu mimi mzima nashukuru kutembelea kitaani kwangu
At 21:19 on August 27, 2010, Jorge Novati Rutenge said…
FB ilikuwa juu sana, watu walikuwa wanajuana kiukweli. Naamini juhudi zile tunaweza kuziweka hapa pia na tukafanikiwa. Pamoja kaka.
At 0:12 on August 27, 2010, Jorge Novati Rutenge said…
Yeah, na mii nilikuwa kwenye fotobaraza ila sijawahi kuhudhuria kikao chochote cha members wala party yoyote.
At 16:09 on August 26, 2010, Mtemi said…
Nice profile pic
At 14:24 on August 26, 2010, lilian dismas said…
huku dodoma kwem a tu sijui uko ulipo uwe na cku njema

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*