Tulonge

Severin's Comments

Comment Wall (285 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 11:31 on January 11, 2012, Geoffrey Masai said…

Niaje mwana! yello niko poa.

At 3:47 on January 11, 2012, Mama Malaika said…

Salama hapa? Nimepita kukujulia hali, msalimie mkwe.

At 17:03 on January 10, 2012, baby C said…

asante

At 2:04 on January 4, 2012, Mama Malaika said…

Asante sana kwa comment yako. Vipi pilau la New Year umeshamaliza?

At 2:40 on December 23, 2011, Mama Malaika said…

At 12:08 on December 10, 2011, JULIETH WILLIAM RUGUMAMU said…

Nipo Severine! asante sana kwa salamu! Nakutakia weekend njema!

At 16:13 on December 8, 2011, ANGELA JULIUS said…

kukunyima nini tena Severin?.

At 17:15 on December 6, 2011, Mama Malaika said…

Asante sana tayari nilishafanya na booking ya ndege. Ila usisahau pilau bila ya kisamvu cha nazi na kapilipili kwa pembeni haikolei kushingo (haijakamilika). Ha haa haa haa

At 16:40 on December 5, 2011, ANGELA JULIUS said…

CHIKAMOO KAKA MAMBO VP BEST?

At 12:32 on December 2, 2011, Mama Malaika said…

Habari ya leo? Naja kula kurusumasi

At 9:00 on December 2, 2011, ANGELA JULIUS said…

 ha ha ha chizi weyeeeee hopefully tutaonana tuu

At 13:22 on November 21, 2011, Mama Malaika said…

Habari ya leo? Nimesoma hii link gazetini nikakukumbuka. Ukipata muda soma hii link... ni balaa

http://www.dailymail.co.uk/news/article-2063538/Fake-doctor-Oneal-Ron-Morris-boosted-womans-home-implant.html

 

At 8:40 on November 21, 2011, ANGELA JULIUS said…

NAONA UMEMAINDI NDUGU YANGU SEVERINI WALA SIKUWA NA MAANA MBAYA NAELEWA KWENYE HIZI SOCIAL NETWORK KUKANYAGANA LAZIMA KUWEPO. POLE KWA KUNIELEWA VIBAYA BEST YANGU.

At 11:54 on November 15, 2011, Wa Kimberly said…

kaka severini  hujambo wewe,missn uuuuuuuuuuu.

At 0:20 on October 28, 2011, Mama Malaika said…

Ha haa haaa.... boss wako asije nisikia maana atanitoa nduki akifikiri naja muibia cheo chake. Basi ngoja niende kuomba kwa Dismas, labda atanipatia ya kupika chai na kufagia ofisi

At 14:59 on October 26, 2011, Mama Malaika said…

Naona umekazania kutundika picha za ndugu zangu, ngoja nikupitie nikupeleke ukawaone uso kwa uso wanavyocheza nikuone ujanja wako kama hurudi bongo na mmoja.

Salama lakini? Hapo kazini kwako hakuna nafasi za kazi ya kufagia? CV yangu ni fulltime mother, sijui inafaa?

At 8:26 on October 26, 2011, Omary said…
Thank you bro nazidi kuzeeka na bado hakijaeleweka dah! ngoja nikomae nitimize malengo.
At 22:39 on October 25, 2011, ILYA said…
asante sana kwa karibisho ndugu kaka,nashukuru kwa kunijali.
At 12:44 on October 25, 2011, Lucie said…

nashkuru kwa kunikumbuka wangu, mi nipo mambo mengi kiac

mic u

 

At 2:42 on October 22, 2011, Mama Malaika said…

Severin... mwenzio ninao wengine nyumbani kibao. Si unajua tena familia zetu za kiswahili ndugu wanapofariki basi viumbe wanaoachwa ni wako na huwezi kukwepa majukumu.

Vipi wewe unao wangapi wa kwako? Nasikia ulishavuta jiko kisirisiri hata kunialika nije kula hilo pilau.

Nakutakia weekend njema

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*