Tulonge

Severin's Comments

Comment Wall (285 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 19:43 on October 17, 2011, abas athman said…
poa severin...inakuwaje mshiksji wangu???
At 15:36 on October 15, 2011, MARTHA MSHANGA said…
ASANTE SANA MPENDWA,NIMESHAKARIBIA.
At 22:04 on October 7, 2011, Mama Malaika said…

Hapo ninakula nondoz nyingine (Business with Economics). Unajua tena huku tuna opportunity na pia system ni nzuri hivyo ni bora kuzitumia hizi chance tunaporudi TZ tuje kikamilifu.

Wewe ulisomea nini?

At 15:07 on October 5, 2011, Mama Malaika said…
Ha ha ahaaa.. we muache tu Dismas, anamuonea sana mdogo wake ndio maana anasema yote hayo. Badala amsaidie plan ya kwenda Nkuhungu na badala yake aanza habari za kunyofolewa makalio.
At 14:45 on October 3, 2011, cecilia kayombo said…

mie niko poa kbs thx, 
vp ww?

 

At 12:02 on October 3, 2011, Hilda Masaure said…
Pouwa kaka mambo yako?
At 10:19 on September 27, 2011, CHA the Optimist said…

Mkutano wa Madktari kuhusu mafanikio  yao katika taaluma yao.

Daktari toka Ujerumani: Sisi   kwetu alizaliwa kijana hana miguu tukamuwekea wa bandia na sasa ni mimbiaji  wa Olimpic  na ana medali tatu za Gold.

Daktari toka China: Sisi alizaliwa binti  hana matako  kabisaa, tukafanikiwa kumuwekea ya bandia na  sasa ni gumzo miongoni mwa wanaume kila apitapo mitaani.

 

Daktari toka Tanzania: Akacheka sana na kusema hiyo  cha mtoto, sisi kwetu  alizaliwa kijana maeneo ya Bagamoyo hana kichwa, tukamuwekea NAZI tena KOROMA, na sasa ni RAIS wa nchi.

At 2:03 on September 25, 2011, Mama Malaika said…

Siku nyingie ya Eid utapokuwa unakula hiyo mihogo na kuchumbari utualigake na sie maana tuna hamu na mihogo.

Salama lakini? Naona bwana mkubwa wako hapo chini na senti hamsini. Sijui yeye tumuite senti moja?

At 11:12 on September 24, 2011, CHA the Optimist said…
At 17:54 on September 14, 2011, ANGELA JULIUS said…
KAKA MIMI SIJAMBO KABISA HOFU KWAKO TUU, NAPITA NIKAONA NIKUSALIMU JIRANI
At 2:00 on September 8, 2011, Gratious Kimberly said…
At 5:02 on September 7, 2011, Mama Malaika said…
Nimepita kuja kula kiporo cha Eid!
At 17:12 on September 6, 2011, ANGELA JULIUS said…
MAMBO VP? NIMEPITA KUACHA SALAMU ZANGU HUJAMBO WEYEEE
At 22:00 on September 4, 2011, stela james said…
mambo vipi kaka,habari za siku,tupo pamoja ndani ya tulonge kwa sasa,
At 22:01 on August 30, 2011, Gratious Kimberly said…
At 20:19 on August 30, 2011, Alfan Mlali said…
At 9:05 on August 29, 2011, mariam mohamed said…
tanx severin.
At 8:35 on August 29, 2011, mariam mohamed said…
k,asante sanaa jaman....mzima lakin.
At 2:21 on August 26, 2011, Mama Malaika said…

Ha haa haa... kumbe umeshktukia tumejenga kibongo bongo, kukipita tetemeko la ardhi basi hekalu letu litasambaratika kama chapati. Ha haa haa

At 21:58 on August 25, 2011, CHA the Optimist said…
Shwari ndugu. Habari ya kwako?

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*