Tulonge

Severin's Comments

Comment Wall (285 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 21:24 on August 24, 2011, Mama Malaika said…
Ha haa haaa... tulikuwa tunacheza, twajenga hekalu la udongo/mchanga. Karibu nawe siku moja. Ha haa haaa......
At 20:31 on August 21, 2011, Wa Kimberly said…
sijambo dia,weekend njema.
At 21:41 on August 14, 2011, Tulonge said…
Hamna noma kaka, mimi nipo. Amani kwako
At 20:53 on August 12, 2011, Tulonge said…
Wewe chizi upo?
At 14:25 on August 5, 2011, Mama Malaika said…
Ha haa haaa... mie ningekuwa ndio kati ya wale wanafunzi wanaofanya mtihani mbona ningepata mia kwa mia. Ha haa haa
At 4:43 on August 5, 2011, lilian dismas said…
ameen
At 16:25 on July 31, 2011, Mama Malaika said…

Salama hapa? Nimeambiwa ni wewe umeweka hii picha kwenye ukurasa wa Dixon, ni kweli? Au anajitetea kuogopa bakora?

http://tulonge.ning.com/photo/hapo-je-1?xg_source=activity

 

At 6:52 on July 28, 2011, Lilian said…
At 13:58 on July 27, 2011, Mama Malaika said…

from Mama Malaika and Family

At 19:06 on July 24, 2011, Adam Salim kangethe said…
twawajua wengi  twanyamaza tu
At 18:53 on July 24, 2011, EDWIN NTUNGILWEGE said…
Ni kweli kaka,ila kwa sasa angalau kidogo tunaelekea field
At 22:53 on July 23, 2011, Tulonge said…
Nipo shwri kaka,upo wapi pande za Dar?
At 17:30 on July 22, 2011, EDWIN NTUNGILWEGE said…
Haaaah,kaka severine mimi mzima 2,ila majukumu ya shule yanakaba kaka! wasalimie hapo.
At 12:56 on July 22, 2011, Agnes Nyakunga said…
kwema kabisa
At 0:12 on July 22, 2011, Tulonge said…
Ni sawa mkuu, habari ya pande za huko kwako
At 11:02 on July 20, 2011, Lucie said…
Mi mzima wa afya wangu
At 19:07 on July 7, 2011, Mama Malaika said…

Ha haaa... itabidi siku nyingine nikupitie tuende wote kwenye harakati za kiuchumi na kijamii barani Africa. Wewe andaa passport na pia umuage mkwe mapema...

Pole sana na mgao wa umeme, ujue nashindwa kuelewa kuwa viongozi wetu wanaji feel vipi jinsi wakazi wanavyopata shida na mgao wa umeme. Nilipokuja last month nimekuta mgao hapo Dar nikatamani nigeuze. LOL...

At 15:25 on July 6, 2011, ANGELA JULIUS said…
eee nilisahau kukujibu anayening'arisha si mwingine bali ni Mungu wangu aliyeniumba.
At 15:16 on July 6, 2011, ANGELA JULIUS said…
kaka nipo nipo tuu si unajua tena mjini mambo mengi.nashukuru sana nikutakie siku njema
At 18:31 on July 5, 2011, Mama Malaika said…

Hao kwenye picha katikati ni mie katika harakati barani Africa tukiwa na Mzee Kenneth Kaunda, raisi wa zamani wa Zambia 

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*