Tulonge

Moreen's Comments

Comment Wall (215 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 22:35 on August 31, 2010, lilian dismas said…
hehehhehe alfan mweeeeeeeee@ mambo dia moreen
At 8:37 on August 30, 2010, Alfan Mlali said…
ahahahaha! Hiyo pic inanifanya nipagawe maana hicho kifua si mchezo!
At 1:44 on August 29, 2010, likoni nyau said…
nashukuru sasa kwa kulikubari jina langu, na ubarikiwe.
At 11:36 on August 28, 2010, KUNAMBI Jr said…
dada moreen me nilikua class moja na alieyetengeneza hii tulonge kwa kweli tunajivunia vijana wa IT tupo msijali ni nyie tu kutuunga mmkono, check me on www.kunambijr.blogspot.com, hapa nampa shavu mshakaji Dismass, jamaa yuko poa sana kasmama ile mbaya, umebaki ww 2 dada Moreen
At 1:48 on August 28, 2010, likoni nyau said…
mamboz?jina hili nimepewa toka nikiwa mtoto,nalipenda na kujivunia,mungu akinipa baby boy lazima naye awe NYAU jr.
At 21:23 on August 27, 2010, Jorge Novati Rutenge said…
Asante mummy, all the best huko.
At 19:23 on August 27, 2010, George said…
Asante sana Dada yangu, huku kwema kabisa tunahangaika tu na maisha na jua kali, vipi wewe huko uliko?
At 17:26 on August 27, 2010, Alfan Mlali said…
Mambo Vp, kwema hapa?? Hiyo profile pic imenileta hapa!
At 10:02 on August 27, 2010, KUNAMBI Jr said…
hahha ahhaha hahah Moreen Maisha ndugu yangu, si unajua ukishasoma IT ww unakua mtu wa magonjwa ya computers tu, ndo zinazotufanya turinge hapa mjini.
At 9:54 on August 27, 2010, KUNAMBI Jr said…
thanx moreen but u look cute baby, za wapi mwenzangu?kazi wapi?na unakoishi ni sehemu gani?
At 9:43 on August 27, 2010, Jorge Novati Rutenge said…
Pleasure is mine. Nipo tu wangu, mishemishe za town. Shwari huko?
At 1:44 on August 27, 2010, likoni nyau said…
kwangu kwema kabisa,wala ujakosea baba yangu ni kweli anaitwa NYAU
At 0:14 on August 27, 2010, Jorge Novati Rutenge said…
Mimi mzima Moreen, maisha yanasonga hivo hivo. Nimefurahi pia kuwa kwenye list ya marafiki zako. Nipe habari.
At 2:35 on August 26, 2010, George said…
Na mimi niko poa kabisa, vipi watunyima nini huko uliko?
At 20:50 on August 23, 2010, George said…
Habari yako Moreen

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*