Tulonge

Moreen's Comments

Comment Wall (215 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 1:30 on July 18, 2012, ILYA said…

halo,mambo swafi dada weye!

At 15:06 on June 21, 2012, Issa mshumbu said…

Hi mdada.

At 1:55 on June 1, 2012, Joan said…

Habari za siku wangu

At 7:53 on April 30, 2012, Tulonge said…

kwema hapa?

At 7:49 on March 11, 2012, Tulonge said…

At 14:56 on February 12, 2012, Jeath Justin Prosper said…

Kweli umeniumbua.....nimepotea kweli dadaa....nimefichwa na matatizo....kuna mtaa mmoja unaitwa ""LOOK FOR CASH AND GET IT>>>>MISS IT  GO WAY OUT>>>hapa pamenipoteza na bado sijafika kwa robo yake...ila this time nataka nionekane kwa wadau.....huo mtaa nataka nitafute mbadala.....siku njema@@@@

At 13:25 on February 7, 2012, ILYA said…

dada niaje

At 8:09 on February 7, 2012, Severin said…

Hi

At 9:22 on January 10, 2012, Dixon Kaishozi said…

Toka mwaka umeanza sijapata nafasi ya kupita hapa. Natumaini mwaka umeanza salama. Tunamshukuru mola kwa kutujalia afya njema na kuendeleza gurudumu la maisha. Nakutakia Mwanzo mzuri wa mwaka. Stay blessed! Pamojah!

At 3:08 on January 3, 2012, Ndekia said…
mambozzzzzz
At 0:38 on January 3, 2012, Tulonge said…

At 16:42 on December 20, 2011, Mama Malaika said…

Mama ameku miss sana sana.  

At 12:30 on December 2, 2011, Mama Malaika said…

Salama hapa? Nimeku miss sana

At 13:55 on November 25, 2011, Lucie said…

Poa swty, uko poa ww?

At 8:36 on November 17, 2011, Bonielly said…

ulipotelea wapi we mrembo? karibu tena,,,,,

At 5:05 on November 16, 2011, Gratious Kimberly said…

asante....kwa upande wangu uzima upo sijui wewe....samahani kwa kuchelewa kujibu, unajua tena katiba ya nchi ndo inatupa wazimu na kazi nyingi...hope uko poa huko ??

At 7:36 on November 9, 2011, ANGELA JULIUS said…

NIPO MPENZI SIJAMBO KABISA USIPOTEE BASI DEAR WANGU

At 21:01 on November 7, 2011, Wa Kimberly said…
mrembo nakusalimu.
At 15:28 on September 28, 2011, Mama Malaika said…
Salama hapa? Nimeku miss sana
At 14:59 on September 13, 2011, ANGELA JULIUS said…

Mrembo wangu mambo vp?

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*