Tulonge

BARAKA FRANCO CHIBIRITI's Comments

Comment Wall (48 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 19:15 on September 15, 2013, Tulonge said…

Eti umefichwa wapi ww?

At 15:44 on February 5, 2013, Mama Malaika said…

Happy birthday!

At 16:47 on May 29, 2012, Mama Malaika said…

Habari za bongo? Mwatunyima nini?

At 15:16 on April 7, 2012, Mama Malaika said…

Salama hapa? Wajomba wako njiani na Ryanair kuja kula pilau la Pasaka

At 17:02 on February 28, 2012, Tulonge said…

Haya nimeweka zilipendwa kwenye play-list pale home page. Unaweza kukumbukia enzi zile

At 14:49 on February 12, 2012, Jeath Justin Prosper said…

Ooh....vizuri kaka..naona unaonekana kwa kiti ya mapumziko....

At 19:41 on February 5, 2012, Tulonge said…

Hahahahhaaaa hamna noma mkuu, wewe ukija nitakuandalia keki kali zaidi ya hiyo. Nina degree ya kutengeneza keki.

At 19:25 on February 5, 2012, Mama Malaika said…

Heri ya siku ya kuzaliwa!!

At 22:40 on February 4, 2012, Tulonge said…

At 2:17 on February 4, 2012, Severin said…

Happy Birthday

At 3:09 on December 23, 2011, Mama Malaika said…

At 14:38 on November 11, 2011, Mama Malaika said…

Asante kwa salamu. Mama amefika tokea October 12, atakuwepo hadi Feb mwishoni. Basi wajomba zako hizo purukushani ndio zimezidi, bibi awatetea wasichapwe. Ha haa haaaa

Vipi maendeleo kule nyumbani? Wasalimie wote

At 19:33 on October 1, 2011, Belita said…
Tupo sote kaka.
At 18:23 on September 28, 2011, Mama Malaika said…
uncle Chibiiiiii.....
At 17:08 on September 26, 2011, Belita said…
Habari ya hapa kaka
At 13:13 on September 16, 2011, Silas A. Ntiyamila said…

Powa powa ndugu tuko pamoja

 

At 6:49 on July 28, 2011, Lilian said…
At 7:01 on May 11, 2011, Tulonge said…

Ni full shangwe baada ya kum-kill Osama

At 21:30 on May 2, 2011, CHA the Optimist said…
AMANI IWE NAWE
At 21:23 on May 2, 2011, CHA the Optimist said…
Ok. Msg yako nimeipata. Kwa upande wangu hakuna shida, tutaonana. Nitafurahi sana kukuona live. Karibu sana Bongo.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*