Tulonge

Omary's Comments

Comment Wall (123 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 16:40 on January 2, 2013, Mama Malaika said…

Asante sana, sie wote wazima wa afya ila nduguzo ndio wanaosumbua kutaka kwenda Tanzania, nimewaambia sasa kuna joto kali wakifika siajabu wakalilia kugeuza.

Pole sana na majukumu ndio ukubwa huo, kumbuka huu ni mpito tu kwani wajukuu zangu muda si mrefu watamaliza masomo na wewe utapumua kama wanavyopumua wazazi wetu sasa baada ya kutuandaa kielimu sio watoto wao. HAPPY NEW YEAR

At 18:57 on October 27, 2012, Mama Malaika said…

Sasa wewe ukisema uzee umepiga hodi na mie nisemeje? LOL........ Usiogope uzee kwani hiyo ni natural process haikwepeki.

Tumshukuru Mola kwa kila siku anayotujalia pumzi ya uhai na kuliona jua, kuna ndugu na rafiki zetu wengi hawakubahatika kufikia umri tuliojaliwa kuufikia. Mola akujalie uzima tele. Wasalimie sana watoto na jamaa wote

At 17:36 on October 25, 2012, Mama Malaika said…

At 13:30 on September 26, 2012, Mama Malaika said…

Salama hapo wote? Nimekukumbuka sana, familia yote wazima? Wasalimie

At 14:35 on July 16, 2012, Mama Malaika said…

Natumai wazima, asante kutuwekea picha ya mkujuu. Sasa mie nimechoka maisha ya mjini, lile shamba la kule Handeni na Mheza tutaanza lini lima machungwa?

At 12:19 on June 27, 2012, Mama Malaika said…

Usalama upo hapa? Pole na majukumu

At 16:51 on May 29, 2012, Mama Malaika said…

Pole sana, naelewa maisha ya nyumbani, ndio ukubwa huo. Ila muda si mrefu wakishamaliza shule nawe utapumzika na kuanza kula kuku kwa mrija. Unao wangapi wa shule?

At 13:57 on May 16, 2012, Mama Malaika said…

Mama kapita kuacha salamu kwa mwanae mpendwa.

At 8:29 on May 10, 2012, Tulonge said…

Pata maji ya uzima hapo

At 13:51 on May 2, 2012, Mama Malaika said…

Omary..... mama ameku miss sanaaaa

At 11:40 on March 20, 2012, Dixon Kaishozi said…

Hodi pande hizi.. sijapita kibaraza hiki muda mrefu.. naomba kigoda nipumzike kidogo.. Salamu kwako na familia pia. Siku njema!

At 12:56 on March 9, 2012, ILYA said…

kaka kwema,nimepita nitoe hai hapa mkuu.

At 0:45 on January 12, 2012, Belita said…

Mambo, nimepita kukusalim baada ya kimya kingi. Ubarikiwe

At 16:52 on January 11, 2012, Tulonge said…

Bofya hapa utakutana na wadau waliopo Mwanza http://tulonge.com/profiles/members/search?name=&gender=&country=&location=mwanza&q6=&q3=&q4=&q5=&page=1

Tena una bahati kweli,maana hata mgeni yupo mwanza, mcheck hapo

http://tulonge.com/photo/dscf2630

At 3:16 on December 23, 2011, Mama Malaika said…

At 14:34 on November 14, 2011, Belita said…

Jamani wazima hapa?

At 13:08 on October 25, 2011, Mama Malaika said…
Happy Birthday!!
At 9:46 on October 25, 2011, Severin said…
Happy birthday
At 18:43 on October 24, 2011, Belita said…
Mimi nilipotea kidogo,ila kwa sasa tupo sote. Habari ya kwako kaka
At 8:33 on October 8, 2011, Belita said…
Pole kwa majukumu kaka, ndiyo uanaume huo komaa.

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*