Tulonge

Aisee nyota ya Diamond bado inawaka sana,ona alivyo pokelewa Congo

This is one of the Most Amazing video clip,which shows Tanzania number one Super Brand in Music Diamond Platnumz when he arrived at Congo in 10th of May 2013...

Views: 166

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by MGAO SIAMINI,P on May 24, 2013 at 10:18

Dogo akijikaza huyu atatoka na anaweza kututangaza vizuri watanzania.nilicho jifunza wakongo wanamzuka kuliko wabongo BIG UP! Diamond

Comment by EMANUEL BARNABAS LUZIGAH on May 24, 2013 at 10:05
maisha bwana ni noma kufumba na kufumbua unakuwa tajiri gafla kweli kila mtu anafollen yake wabongo tutiane moyo mru akifanikiwa tufurahi pamoja nae tuache kusema oooh mara freemason mara sijui nini, hayo hayatufikishi mbaliii
Comment by mathias mwita on May 24, 2013 at 8:45

hongera kaka, komaa katika kazi mambo yataendelea kuwa mazuri zaidi

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*