Tulonge

Mwanaume lazima ulinde sehemu yako muhimu.DAT

Share your videos with friends, family, and the world

Views: 300

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by the young dynasty on April 29, 2012 at 19:50
aaaaaa
Comment by ILYA on March 29, 2012 at 20:54

Teh teh teh!

Comment by Denis Elias on January 27, 2012 at 9:12

Hii imetulia sana! Jamaa kakubari apigwe apondwe koote lakini sio utajili wake uharibiwe

Comment by Tulonge on January 20, 2012 at 19:38

Mbona macho hawayalindi kiasi hicho? Kwani macho na huko chini wapi muhimu zaidi?

Comment by ANGELA JULIUS on January 20, 2012 at 15:28

MIMI ANGEKUWA MUME WANGU NDO MCHEZO WAKE HUO LOO NINGEMWAMBIA BORA ATAFUTE FANI INGINE KULIKO KUHATARISHA MALI MUHIMU KAMA HIYO ILIYOMLETA DUNIANI

Comment by MARTHA MSHANGA on October 20, 2011 at 14:38
OFISI NYETI KAMA HIZO LAZIMA ZIWE NA ULINZI SAA 24,HAHAHAHAHAAAAAAA!!!!!!!
Comment by Alfan Mlali on June 22, 2011 at 21:24
Hahahahahahahahahaha! Zana za kazi lazima zilindwe maana bila hizo ni bora ufe tu!!
Comment by eddie on February 19, 2011 at 13:04
Abiria chunga mzigo wako...!!
Comment by Selina Mahimbo on December 29, 2010 at 13:12
Eeh! eeh! hii kali, jamaa hawa wako makini na ............zao!
Comment by Belita on November 21, 2010 at 13:27
Hahahahhaaaa kweli wanalinda zisipasuke

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*