Tulonge

Hii ni Video ya pili ya PNC ya wimbo 'Imebuma' baada ya video ya kwanza kubuma

Views: 126

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by godfrey jonas mogope on January 28, 2013 at 11:56

hata hapa imebuma pia!!

Comment by Dixon Kaishozi on January 24, 2013 at 14:48

Hahahaaa... muoneeni huruma kidogo.... imebuma hata mtandaoni... Lol!!!

Comment by Alfan Mlali on January 18, 2013 at 19:49

Hata hiii imebuma pia hahahahahaha

Comment by Dixon Kaishozi on January 17, 2013 at 10:52

Tehe.. ile ya kwanza nilivyoiona nilimuonea huruma.. nyimbo inaitwa imebuma.. na video ikabuma.. hahahahaa.. Alikuwa anatia huruma sana alipokuwa anajielezea..  Angalau hii ya pili kidogo ni nzuri !!!!

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*